Home Uncategorized SIMBA YATIA TIMU TAIFA

SIMBA YATIA TIMU TAIFA

KIKOSI cha Simba kimeti

a timu Uwanja wa Taifa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa leo, Machi 8 majira ya saa 11:00 jioni.

Beki wa Simba, Erasto Nyoni amesema kuwa anakumbuka kuwa mchezo wao uliopita Januari 4, walilazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 leo hawatarudia makosa.

Meddie Kagere mshambuliaji wa Simba amesema kuwa watapambana kupata pointi tatu.

SOMA NA HII  SIMBA HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA MO AWEKA BILIONI 1 KUIUWA AL AHLY...... VIGOGO WATANGULIA MISRI