Uncategorized

BEKI SIMBA AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

admin April 20, 2020 7:29 am

GADIEL Michael, beki wa Simba anayevaa jezi namba mbili amesema kuwa wakati huu ni muhimu kila mmoja akachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

Beki huyo amesema kuwa kitu cha muhimu kwa kila mmoja ni afya hivyo ni muhimu kufuata kanuni na taratibu za Wizara ya afya ili kuwa salama.

“Ni janga kubwa ambalo lipo kwa taifa na dunia nzima kiujumla ila ni muhimu kufuata utaratibu ambao umewekwa na Serikali kwa kuchukua tahadhari.

“Mimi pia ninachukua tahadhari hivyo nina amini hata wewe pia unaweza kuchuka tahadhari ili uwe salama,” amesema Gadiel.

MLINDA MLANGO KAGERA SUGAR APATA MUDA WA KULEA BINTI WAKE ISHU YA YANGA KUSHUSHA PANCHA MOJA MATATA UONGOZI WAFUNGUKA, WAKIRI KUWAFUATILIA KWA UKARIBU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply