Home Uncategorized SIMBA QUEENS WAIKIMBIZA JKT QUEENS MAZIMA

SIMBA QUEENS WAIKIMBIZA JKT QUEENS MAZIMA


KABLA ya shughuli za michezo kusimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona, kwa upande wa Ligi Kuu ya Wanawake Klabu ya Simba Queens ilikuwa inaongoza ligi.

Ligi ya Wanawake inashirikisha timu nane ambapo 12 na bingwa mtetezi wa taji hilo ni JKT Queens.

Klabu ya Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 29 baada ya kucheza mechi 11.

Klabu ya JKT Queen ipo nafasi ya nne ikiwa na pointi 25.

SOMA NA HII  KOCHA MANCHESTER UNITED: TULISTAHILI USHINDI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here