Home Uncategorized UMTITI AGOMA KUSEPA BARCA

UMTITI AGOMA KUSEPA BARCA


SAMUEL Umtiti beki anayekipiga ndani ya Klabu ya Barcelona amesema kuwa hana mpango wa kutimka ndani ya kikosi hicho.

Taarifa zinaeleza kuwa kitasa hicho Chenye umri wa miaka 26 bado kinafurahia maisha ndani ya Klabu hiyo.

Mkataba wake unameguka msimu wa 2025 ambapo alikuwa anatajwa huenda akasepa.

Miongoni mwa Klabu ambazo zilikuwa zinatajwa kuiwinda saini yake ni Chelsea na Manchester United

SOMA NA HII  VIDEO: MABAO YA BIASHARA UNITFD V AZAM FC, KARUME

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here