Uncategorized

NALDO MAMBO YAMEGOMA KWENDA HUKO AZAM FC

admin May 11, 2020 8:23 am


IDD Seleman, ‘Naldo’ nyota anayekipiga ndani ya Azam FC kwa sasa mambo kwake yamekuwa magumu kwa kushindwa kucheka na nyavu kama zamani.

Msimu uliopita wa 2018/19 alipokuwa ndani ya Mbeya City alikuwa ni mbadala wa Eliud Ambokile ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya TP Mazembe ya Congo na alisepa akiwa ametupia mabao 10.

Naldo msimu huo alitupia mabao 10 jambo lililowavuta mabosi wa Azam FC na akamwaga wino hapo alipo kwa sasa.

Mambo yamekuwa magumu kwani kwa sasa ametupia mabao matano kimiani na mabosi hao wa Azam FC wamebakiwa na mechi 10 pekee kukamilisha mzunguko wa pili.

VITA YA KIUNGO ANAYEWINDWA NA YANGA NI DHIDI YA NYOTA WAWILI, DAU LAKE ACHA DAVID SILVA APIGA HESABU ZA KUSEPA NDANI YA MANCHESTER CITY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply