Home Uncategorized HILI NDILO ZOEZI ANALOLIPENDA MBWANA SAMATTA, HAPA NDIPO WALIPO

HILI NDILO ZOEZI ANALOLIPENDA MBWANA SAMATTA, HAPA NDIPO WALIPO


MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Aston Villa inayoshriki Ligi Kuu England amesema kuwa zoezi analopenda zaidi ni kulenga shabaha.

Tayari kwa sasa ndani ya Ligi Kuu England inatarajiwa kurejea Juni 20 ila Aston Villa wataanza Juni 17 kucheza mchezo wake wa kiporo dhidi ya Sheffield.

Aston Villa ina kibarua kizito cha kupambana ili isishuke daraja msimu ujao kwani kwa sasa haipo kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo.

Ikiwa imecheza mechi 28 ipo nafasi ya 19 kibindoni ina pointi 25.

SOMA NA HII  JKT TANZANIA NA SOKO LA USAJILI DIRISHA DOGO