Home Uncategorized SON WA TOTTENHAM NOMA, AFANYA KWELI JESHINI

SON WA TOTTENHAM NOMA, AFANYA KWELI JESHINI


MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspur, Heung-Min Son, amefanikiwa kumaliza mafunzo ya kijeshi huko kwao Korea Kusini.

Katika mafunzo hayo ya wiki tatu, mshambuliaji huyo tegemo wa Tottenham na taifa lake la Korea Kusini, amemaliza katika nafasi tano za juu kati ya watu 157.
Son alikuwa katika kambi ya jeshi la majini iliyopo Kusini mwa Kisiwa cha Jeju. Mafunzo hayo yalianza Aprili 20, mwaka huu.


SOMA NA HII  VPL: SIMBA 1-1RUVU SHOOTING

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here