Home Uncategorized VIGEZO VYA NAHODHA STARS VIPO NAMNA HII

VIGEZO VYA NAHODHA STARS VIPO NAMNA HII

KOCHA Mkuu wa timu

ya Taifa ya Tanzania,  Etienne Ndayiragije amesema miongoni mwa vitu anavyovitazama kabla ya kumpa mchezajikitambaa cha unahodha ni uwezo wake wa kuongeza pamoja na nidhamu.

Ndayiragije amesema anaamini katika mawazo ya kila mmoja jambo linalomfanya awe na maelewano na wachezaji.

“Mimi napenda sana kumteua mchezaji ambaye ataweza kunikumbusha na kunipa ushauri, uwezo wake wa kujituma na kuongeza ni mambo ya msingi bila kusahau nidhamu binafsi,” amesema.

SOMA NA HII  BEKI AZAM FC APIGWA PINI MIAKA MITATU MAZIMA