Home Uncategorized ZANA COULIBARY ATAKA KUREJEA BONGO

ZANA COULIBARY ATAKA KUREJEA BONGO



INAELEZWA kuwa Zana Coulibary nyota wa zamani wa Simba amevunja mkataba na mabosi wake AS Vita ya Congo.

Zana alikipiga ndani ya Simba il iliyotinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018/19 aliibukia AS Vita ambao waliona uwezo wake alipomenayana nao kwenye mechi hizo za kimataifa.

Habari zinaeleza kuwa hesabu zake ni kurejea Bongo tena kukipiga na timu anazozitaka ni Azam FC na Yanga.

SOMA NA HII  MSERBIA AANZA NA WAWILI YANGA,SVEN APIGA MKWARA, NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI