Home Uncategorized KMC KUTESTI MITAMBO YAKE MBELE YA SIMBA LEO

KMC KUTESTI MITAMBO YAKE MBELE YA SIMBA LEO


BAADA ya jana KMC kushinda mabao 3-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru, leo Juni 8 wanatarajia kukutana na Simba, kutesti mitambo kwenye mchezo wa kirafiki.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mo Simba Arena, uliop Bunju.

KMC inapambana kurejesha makali ya kikosi chake ili kiweze kusalia ndani ya Ligi Kuu Bara.

Hassan Kabunda, winga wa KMC amesema kuwa hesabu kubwa za timu ni kuona wanabaki ndani ya ligi msimu ujao.

SOMA NA HII  KAMA KAWAIDA YAKE, MANARA AMVAA NUGAZ KWA MARA NYINGINE, HIKI NDICHO AMEKIANDIKA