Home Uncategorized LIVE:SIMBA 2-0 MWADUI FC

LIVE:SIMBA 2-0 MWADUI FC


Dakika 2 zinaongezwa

Dakika 45 zinakamilika Uwanja wa Taifa
Dakika ya 44 Mfaume anafanya jaribio linaishia mikononi mwa Manula
Dakika ya 43 Mwadui wanalifuata lango la Simba 
Dakika ya 41 Luis anaotea akiwa ndani ya 18 
Dakika 40 Ndemla anamtafuta Dilunga 
Dakika ya 38 Dilunga anampenyezea Bocco mpira unaokolewa
Dakika ya 36 Mwadui wanamiliki mpira, wanapata kona inaokolewa na Manula
Dakika ya 34 Luis anapaisha moira akiwa ndani ya 18
Dakika ya 33 Mwadui wanapiga kona inaokolewa 
Dakika ya 32 Bocco anaotea 
Dakika ya 31 Hassan Dilunga anaoteaDakika ya 30 Luis anawafuata Mwadui,
Dakika ya 28 Mwadui wanalifuata lango la Simba
Dakika ya 21 Goool Agustino Samson anajifunga kwa pasi ya Kapombe
Dakika ya 19 Bocco anaotea
Dakika ya 18 Mdamu anachezewa faulo
Dakika ya 17 Ndemla anafanya shambulizi linakwenda nje
Dakika ya 16 Mwadui wanafanya shambulizi linaokolewa na Wawa.
Dakika ya 15 Masenga wa Mwadui anachezewa faulo na Ndemla
Dakika ya 11 Kapombe anachezewa faulo
Dakika ya 09 Dilunga anafunga goooal kwa pasi ya John Bocco .

Dakika ya 05 Mwadui wanakosa nafasi ya kufunga kwa Simba.

Dakika ya 03 Simba wanafanya jaribio haizai matunda

Uwanja wa Taifa
Kipindi cha Kwanza 
Simba 0-0 Mwadui FC

SOMA NA HII  ISHU YA TSHISHIMBI IMEKUJA KIVINGINE,SIMBA YAFANYA UMAFIA,KESHO NDANI YA SPOTI XTRA