LEO uhondo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaendelea ambapo timu 14 zitakuwa kwenye viwanja saba tofauti kusaka pointi tatu muhimu.
Mechi za leo Juni 20 zitakuwa namna hii:-
JKT Tanzania v Singida United, Jamhuri.
Ndanda v Biashara United, Nagwanda.
Namungo v Kagera Sugar, Majaliwa.
Coastal Union v Mtibwa Sugar, Mkwakwani.
Polisi Tanzania v Lipuli, Ushirika.
KMC v Ruvu Shooting, Uhuru.
Simba v Mwadui, Taifa.
Mechi zote zitapigwa majira ya saa 10:00 jioni