Home Uncategorized YANGA KUMENYANA KESHO NA KAGERA SUGAR USIKU

YANGA KUMENYANA KESHO NA KAGERA SUGAR USIKU

MUDA wa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Yanga na Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Taifa utakuwa ni saa 1:00 usiku.

Awali mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni.

Taarifa ambayo imetolewa leo imeeleza kuwa mchezo huo utachezwa saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa.

SOMA NA HII  MWADUI KUIKOMALIA GEITA FC, YAGOMA KUSHUKA MAZIMA TPL