Home Uncategorized RATIBA LIGI KUU BARA LEO IPO HIVI

RATIBA LIGI KUU BARA LEO IPO HIVI

LEO ndani ya Ligi Kuu Bara,  Julai 23 mambo yapo namba hii:-

Azam FC v Mbeya City, Uwanja wa Azam Complex

Lipuli FC v Ruvu Shooting, Uwanja wa Samora.

Polisi Tanzania v JKT Tanzania,  Ushirika .

Coastal Union v Simba, Mkwakwani

Alliance v Ndanda FC,  Uwanja wa Nyamagana.

Mechi zote zitapigwa saa 10:00 jioni isipokuwa ile ya Azam FC dhidi ya Mbeya City itapigwa saa 1:00 usiku.

SOMA NA HII  MTIBWA SUGAR: TUPO TAYARI KWA LIGI