Home Uncategorized SHIBOUB ATUA BONGO, ANAWACHEKI SIMBA WAKIPAMBANA NA AZAM FC

SHIBOUB ATUA BONGO, ANAWACHEKI SIMBA WAKIPAMBANA NA AZAM FC

SHARAF Shiboub kiungo wa Simba raia wa Sudan Sudan ametua ndani ya ardhi ya Tanzania akitokea nchini kwao alikokuwa baada ya masuala ya michezo kusimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona. 

Hakukuwa na mechi ya ushindani tangu Machi 17 baada ya Serikali kusimamisha masuala ya michezo kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Shiboub alichelewa Kurejea nchini kutokana na Serikali ya Sudan kufunga mipaka ya nchi hiyo.

Shiboub ndani ya Ligi Kuu Bara amefunga mabao mawili na kutoa pasi sita za mabao kati ya mabao 69.

SOMA NA HII  HAYA HAPA MABAO YA BERNARD MORRISON WA YANGA