Home Uncategorized KMC YAMALIZANA NA DONDOLA WA COASTAL UNION

KMC YAMALIZANA NA DONDOLA WA COASTAL UNION

 

KMC FC imekamilisha usajili wa golikipa kutoka Coastal Union, Masoud Abdallah (Dondola).

Kwa mkataba wa mwaka mmoja. Nyota huyo alikuwa kwenye ubora ambapo alijikusanyia Clean Sheet 17.

Anakuwa ni kipa wa pili kusaini dili jipya ndani ya KMC ambapo anaungana na Raheem Sheikh akiyekuwa anakipiga Mbao FC.

Raheem alisaini dili hilo Agosti 25 kwa kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia wana Kino Boys.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI