Home Uncategorized RASMI YANGA YAMALIZANA NA MBUKINAFASO

RASMI YANGA YAMALIZANA NA MBUKINAFASO

 


YACOUBA Sogne, raia wa Burkina Faso amemalizana na Yanga kwa ajili ya kutumikia kikosi hicho kilicho kwenye maboresho kwa ajili ya msimu wa 2020/21.


Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga Asente Kotoko ya Ghana amesaini dili la miaka miwili.


Sogne amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho anaamini ni njia yake ya kufikia mafanikio.

SOMA NA HII  HAJI MANARA AAMUA KUWACHANA TENA YANGA JUU YA USAJILI WA KOTEI, AJA NA KAULI MPYA