Home Uncategorized MZUNGUKO WA TATU ULIKUWA NI MOTO CHINI, MABAO 13 YAKUSANYWA

MZUNGUKO WA TATU ULIKUWA NI MOTO CHINI, MABAO 13 YAKUSANYWA

 


Mzunguko wa tatu umekamilika kibabe.


Mechi moja pekee ndo ilimaliza dk 90 bila nyavu kutikiswa ilikuwa ni kati ya Coastal Union v Dodoma FC,  Uwanja wa Mkwakwani.


Jumla yamefungwa mabao 13 na timu iliyofunga mabao mengi mzunguko wa tatu ni Simba ambayo ni mabao manne.

SOMA NA HII  BIASHARA UNITED YAFANYA BIASHARA NA AMRI SAID