Home Uncategorized MWENDO WA NAMUNGO FC 20202/21

MWENDO WA NAMUNGO FC 20202/21


 KIKOSI cha Namungo FC kinachonolewa a Kocha Mkuu Hitimana Thiery 2020/21 mwendo wao upo namna hii:-

Namungo 1-0 Coastal Union.

Namungo 0-1 Polisi Tanzania

Tanzania Prisons 1-0 Namungo

Mbeya City 0-1 Namungo

Namungo 0- Mwadui.

Mechi tano imetupia mabao mawili yote yalifungwa na Bigirimama Blaise.

Safu yao ya ulinzi imeruhusu mabao matatu, mawili imefungwa nyumbani Uwanja wa Majaliwa na moja ugenini Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa.

SOMA NA HII  YANGA SC: NJOONI MUONE MAVITUZ YACARLINHOS