Home Uncategorized VPL: YANGA 0-0 POLISI TANZANIA

VPL: YANGA 0-0 POLISI TANZANIA


Uwanja wa Uhuru:- Yanga 0-0 Polisi Tanzania

Kipindi cha kwanza

Oktoba 22

Ligi Kuu Bara 


Dakika ya 40 Uwanja wa Uhuru, Moro anachezewa faulo na mpira unapigwa kuelekea kwa Polisi Tz

Dakika ya 36 Lamine Moro anaokoa hatari iliyopigwa na Marcel Kaheza

Kipindi cha kwanza kinaendelea kwa sasa baada ya dakika moja ya kupoza koo kukamilika.

Dakika moja kwa ajili ya kupoza koo na joto la Dar, Uwanja wa Uhuru.

Kona ya kwanza ilipigwa na Tuisila Kisinda kona ya pili Farid Mussa zote hazizai matunda.

Dakika ya 15: Bado ngoma ni ngumu kwa timu zote mbili Uwanja wa Uhuru.

Dakika ya 14:-Farid Mussa anampa Fei Toto

Yanga wanapiga kona ya pili 

Kisinda anacheza faulo 

YANGA ipo Uwanja wa Uhuru ikisaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania

SOMA NA HII  KOMBE LA SHIRIKISHO HATUA YA MTOANO