Home Uncategorized BALAA LA MNATA METACHA LIPO HIVI

BALAA LA MNATA METACHA LIPO HIVI

 


Ameanza langoni mechi 10 amefungwa mabao matatu kati ya manne ambayo Yanga imefungwa msimu wa 2020/21.


Uwanja wa CCM Kirumba alifungwa bao moja na Hassan Kabunda  wakati KMC 1-2 Yanga.


Uwanja wa Mkapa amefungwa mabao mawili ilikuwa Yanga 1-1Simba ni Joash Onyango alimtungua na Yanga 1-1 Namungo,  Stephen Sey alimtungua.


Anaitwa Metacha Mnata kipa namba moja wa Yanga.

SOMA NA HII  YANGA YAFICHUA KILICHO NYUMA YA USHINDI WAO NA MWADUI, ISHU YA MIGOGORO IPO HIVI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here