Home Uncategorized HIZI HAPA ZA LIGI KUU BARA LEO KUSAKA POINTI TATU

HIZI HAPA ZA LIGI KUU BARA LEO KUSAKA POINTI TATU


 LEO Novemba 25 Ligi Kuu Bara inaendela kuchanja mbunga ambapo ni raundi ya 12 inaanza baada ya ile ya 11 kukamilika.


Timu nane zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu kwenye viwanja vinne tofauti ambapo Ruvu Shooting itarejea Uwanja wa Mabatini baada ya kumaliza kufanya ukarabati na itawakaribisha Tanzania Prisons.


Awali mechi za Ruvu Shooting zilikuwa zinachezwa Uwanja wa Uhuru.Mchezo huu utachezwa saa 8:00 mchana.

Mwadui FC itakutana na Gwambina FC, Uwanja wa Mwadui Complex saa 10:00 jioni.


Kagera Sugar itamenyana na Biashara United Uwanja wa Kaitaba saa 10:00 jioni.


Azam FC itamenyana na Yanga, Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku.

SOMA NA HII  MASHABIKI TUNAPASWA TUWE WASIKIVU, TUACHE UKOROFI NA KIBURI KATIKA KUFUATA MUONGOZO