Kikosi cha Simba kitakachoanza leo Novemba 21 dhidi ya Coastal Union ya Tanga mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Mkongwe Erasto Nyoni baada ya kujenga ushkaji na benchi leo ameanza kikosi cha kwanza akiwa pamoja na kitasa Joash Onyango.