Home Uncategorized BARAKA MAJOGORO AZIINGIZA VITANI YANGA NA SIMBA

BARAKA MAJOGORO AZIINGIZA VITANI YANGA NA SIMBA


BARAKA Majogoro,  nyota anayekipiga ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar anatajwa kuingia kwenye rada za mabosi wa mitaa ya Kariakoo, Simba na Yanga.


Kiungo huyo mkabaji mzawa amekuwa na uwezo mkubwa ndani ya Uwanja jambo lilowavutia mabosi wa Klabu za Simba na Yanga.


Mbali na timu hizo pia JKT Tanzania wanatajwa kuwania saini ya kiungo huyo mkabaji.


Majogoro amesema kuwa kwa sasa yeye ni mali ya Mtibwa Sugar.

SOMA NA HII  VIDEO: UWANJA WA NDONDO ALIOCHEZEA MORRISON, WACHEZAJI, MASHABIKI WAFUNGUKA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here