Home Uncategorized HUYU HAPA MRITHI WA MIKOBA YA SVEN VANDENBROEC

HUYU HAPA MRITHI WA MIKOBA YA SVEN VANDENBROEC

 


AMEZALIWA Septemba 13,1973 ana umri wa miaka 47 ambapo nafasi aliyocheza mwenyewe zama za mpira alikuwa beki.


Anaitwa Rene Weiler raia wa Uswisi aliweka daruga kabatini 2001 alipokuwa anatumikia Klabu ya FC Winterthur.


Anatajwa kuingia rada za Simba kuja kuchukua mikoba ya Sven Vandenbroeck ambaye amebwaga manyanga ghafla.


Alikuwa Kocha ndani ya Klabu ya Al Ahly ya Misri ila kwa sasa yupo huru baada ya kufutwa kazi Oktoba mwaka jana.


Chanzo:Championi

SOMA NA HII  MANARA AFUNGUKA KUHUSU MO DEWJI NA AINA YA WATU ANAOWAPENDA