Home Simba SC LIGI YA MABINGWA AFRIKA:AS VITA 0-1 SIMBA

LIGI YA MABINGWA AFRIKA:AS VITA 0-1 SIMBA

 


Kipindi cha kwanza


Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi

Uwanja wa Des Martyrs

Dakika ya 41 Bwalya anachezewa faulo na Tshishimbi 

Dakika ya 41 Manula anaokoa hatari ya faulo iliyopigwa na AS Vita

Dakika ya 32, Lwanga anaokoa hatari baada ya Juma kupenya ngome ya Simba na kuingia ndani ya 18

Dakika ya 27 Lwanga anachezewa faulo

Dakika ya 25 Lwanga anarejea uwanjani 

Dakika ya 24 Lwanga anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 23 AS Vita wanapata kona inaokolewa na Manula 

Dakika ya 20 Luis anacheza faulo akiwa eneo la AS Vita

Dakika ya 16 Simba wanapata kona ya kwanza

Dakika ya 14 Lwanga anachezewa faulo na Tshishimbi 

Dakika ya 13, Manula anatoka nje ya lango kuokoa anakosa mpira AS Vita wanakosa nafasi ya kufunga

Dakika 11 Tshishimbi anapokonya mpira 

Dakika ya 10 Manula ana

okoa hatari baada ya mabeki kujuchanganya ndani ya 18

Dakika ya 8 AS Vita wanapaisha faulo

Dakika ya 7 Lwanga anamchezea faulo mayele nje kidogo ya 18 

Dakika ya 6 Bwalya anapoteza mpira

Dakika ya 4 Tshabalala anamchezea faulo nahodha wa AS Vita Juma Shaban

Dakika ya 2 Luis Miquissone anachezewa faulo 

AS Vita 0-0 Simba

SOMA NA HII  KOCHA SIMBA AFICHUA SIRI HII YA KUIBANJUA YANGA...AMEFUNGUKA HAYA