Home news RATIBA YA LEO KITAIFA NA KIMATAIFA HII HAPA

RATIBA YA LEO KITAIFA NA KIMATAIFA HII HAPA


 LEO Jumapili, Februari 7 ndani ya ardhi ya Bongo Ligi Kuu Bara ratiba yake ipo namna hii:-

Simba v Azam FC, Uwanja wa Mkapa.

Namungo v Ruvu Shooting, Uwanja wa Majaliwa.

Kwa Bongo zote zitapigwa saa 10:00 jioni.


Hapa ni Ligi Kuu England

Spurs v West Brom saa 9:00 alasiri

Wolves v Leicester, saa 11:00 jioni

Liverpool v Manchester City, saa 1:00 usiku.

Sheffield United v Chelsea, saa 4:15, usiku.

Chimbo la Serie A

Benevento v Sampdoria, saa 8:30 mchana

AC Milan v Crotone, saa 11:00 jioni.

Udinese v Verona, saa 11:00 jioni.

Parma v Bologna, saa 2:00 usiku.

Lazio v Cagliari, saa 4:45, usiku.

SOMA NA HII  AZAM FC WAANZA FUJO ZA USAJILI BONGO....WABEBA KIFAA HIKI CHA AL HILAL YA SUDAN KIBABE...