Home Ligi Kuu RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO


 LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili unaendelea ndani ya uwanja kwa timu kusaka pointi tatu.

Ikiwa leo ni Februari 18 ratiba inakwenda namna hii:-

JKT Tanzania v Polisi Tanzania, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Biashara United v Simba, Uwanja wa Karume, Mara.

Azam FC v Mbeya City, Uwanja wa Azam Complex.

SOMA NA HII  MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA, MZUNGUKO WA PILI