Home Azam FC AZAM FC BADO INAUFIKIRIA UBINGWA WA LIGI KUU BARA

AZAM FC BADO INAUFIKIRIA UBINGWA WA LIGI KUU BARA

 


VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa bado hatujakata tamaa ya kusaka ubingwa kwa kuwa bado Ligi Kuu Bara inaendelea.


Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina ilianza msimu kwa kasi chini ya Arstica Cioaba baada ya kasi hiyo kutulizwa na Mtibwa Sugar mambo yalibadilika kidogo hali iliyofanya Cioaba afutwe kazi.


Kwa sasa ipo nafasi ya tatu na pointi zake ni 44 ikiwa imecheza jumla ya mechi 24 na kinara ni Yanga mwenye pointi 50 amecheza jumla ya mechi 23.


Bahari amesema:”Bado tuna mechi na Ligi inaendelea hivyo nafasi ya kutwaa ubingwa bado ipo,”.

SOMA NA HII  MBUNGI YA AZAM vs YANGA KUPIGWA SIKU HII WIKI IJAYO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here