Home Simba SC CHEKI MECHI ZA SIMBA NDANI YA APRILI KWENYE LIGI KUU BARA

CHEKI MECHI ZA SIMBA NDANI YA APRILI KWENYE LIGI KUU BARA


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kina mechi zake nne kwa mwezi Aprili kusaka pointi tatu muhimu katika Ligi Kuu Bara.

Kwenye msimamo kipo nafasi ya kwanza na pointi zake ni 46 baada ya kucheza mechi 20.

Ratiba yake ambayo imetolewa leo Machi 31 itaanza Aprili14 ni Simba v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa.

Mwadui FC v Simba itakuwa Aprili 18, Uwanja wa Kambarage.

Kagera Sugar v Simba itakuwa ni Aprili 21, Uwanja wa Kaitaba.

Gwambina v Simba ni Aprili 24, Uwanja wa Gwambina Complex.

Simba v Dodoma Jiji itakuwa ni Aprili 27, Uwanja wa Mkapa.

SOMA NA HII  WAKATI BALEKE AKIANZA MBIO MAPEMA...KIPA MPYA SIMBA APEWA ONYO...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here