Home Simba SC EXCLUSIVE: MOHAMED HUSSEIN MKATABA WAKE UNAISHA SIMBA,

EXCLUSIVE: MOHAMED HUSSEIN MKATABA WAKE UNAISHA SIMBA,

IKIWA tetesi zinaeleza kwamba mkataba wa nyota wa Simba, Mohamed Hussein kuhitajika na Yanga, meneja wa mchezaji huyo ameweka wazi kuwa mkataba wake kweli unakaribia kuisha na nyota huyo anafuatiliwa na mataifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na timu ya Afrika Kusini

 

SOMA NA HII  ROBERTINHO AFUNGUKA KUHUSU SIMBA ALIYEITENGENEZA ISHU IKO HIVI KWENYE MATAJI