Home news KESHO NI YANGA V AZAM, USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO JERO TU

KESHO NI YANGA V AZAM, USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO JERO TU

 Kesho ni Yanga vs Azam. Jipatie nakala yako ya Gazeti la Spoti Xtra Jumapili ufahamu rekodi za timu hizo katika kukutana kwao ndani ya Ligi Kuu Bara.


Unafahamu mabao mangapi yamefungwa ilipokutana miamba hii?


Je, unafahamu nani kashinda mechi nyingi na sare zimekuaje?


Spoti Xtra kwa Tsh 500 tu unapata majibu ya maswali hayo kabla ya kuushuhudia mchezo wenyewe utakaoanza saa 2:15 usiku.


Mbali na hayo, kuna ishu ya Simba kukaa kileleni Ligi Kuu Bara. Unaambiwa kuna rekodi imewekwa na Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara.


Uhondo wote huu upo ndani ya Spoti Xtra, Gazeti bora la michezo Afrika Mashariki na Kati lililosheheni habari na makala zilizoandikwa kitakwimu zaidi

SOMA NA HII  MUDATHIR AVUNJA UKIMYA AZAM...AFUNGUKA KINACHOWAKWAMISHA..WACHEZAJI NA KOCHA WATAJWA..

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here