Home Ligi Kuu VIDEO: MKANDALA AJIVUNIA KUWAFUNGA SIMBA MARA MBILI

VIDEO: MKANDALA AJIVUNIA KUWAFUNGA SIMBA MARA MBILI

CLEOPHANCE Mkandala, kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Dodoma Jiji kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata amesema kuwa walikuwa wanahitaji kupata pointi tatu ila walikwama kutokana na kuzidiwa mbinu.


 Amebainisha kwamba kuifunga Simba kwenye mechi mbili walipokutana Uwanja wa Jamhuri wakati ubao ukisoma Dodoma Jiji 1-2 Simba  na jana ubao kusoma Simba 3-1 Dodoma Jiji kwa Mkapa kwake ni furaha. 

 

SOMA NA HII  GWAMBINA YATUMA SALAMU ZAKE KMC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here