Home news VIDEO: MECKY MAXIME ATAKA KUWATENGENEZA AKINA CHAMA WATANZANIA

VIDEO: MECKY MAXIME ATAKA KUWATENGENEZA AKINA CHAMA WATANZANIA


KOCHA wa zamani wa kikosi cha Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa malengo makubwa kwa sasa ameamua kupumzisha kichwa kwenye vilabu na kwa sasa yupo kwenye kituo cha Cambiassosports ambacho ni maalumu kwa ajili ya kukuza vipaji vya soka kwa vijana baada ya kusaini dili la miaka miwili. 

Amewaomba Watanzania kutengeneza mpira pamoja na kuwa na wachezaji kama akina Chama, (Clatous raia wa Zambia) wengine pamoja na wachezaji ambao watakuwa wazuri wakati ujao kwa ajili ya timu ya taifa ya Tanzania.

 

SOMA NA HII  SAMATTA ATOA "GUNDU" FENERBAHNCE