video
VIDEO: MO NA MANJI USO KWA USO
KUNA uwezekano mkubwa wa Mohamed Dewji, ‘Mo’ ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba pamoja na Yusuph Manji aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga huenda wanaweza kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Julai 3.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.