Home kimataifa FONSECA APEWA MIAKA MIWILI SPURS

FONSECA APEWA MIAKA MIWILI SPURS


 KLABU ya Tottenham ipo kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha dili la kumpa mkataba wa miaka miwili kocha, Paulo Fonseca.

Spurs kwa sasa inasaka kocha mpya baada ya kumfuta kazi, Jose Mourinho aliyetimuliwa Aprili mwaka huu.

Inaelezwa kuwa tayari Fonseca amekubali dili hilo na anatarajiwa kutua London muda wowote kuanzia sasa.

Kocha huyo msimu uliopita alikuwa anainoa timu ya Roma na ilimaliza ikiwa nafasi ya 7 katika Serie A.

SOMA NA HII  KUMBE SOLSKAJER HAFURAHISHWI NA KAMPENI ZA NEVILE