Home Simba SC KAGERE WA SIMBA RUKSA KWENDA KUKIPIGA YANGA

KAGERE WA SIMBA RUKSA KWENDA KUKIPIGA YANGA


MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Klabu ya Simba kwa sasa ni RUKSA kuzungumza na mabosi wa watani zao wa jadi Yanga ili waweze kupata saini yake.


Nyota huyo mwenye mabao 11 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 dili lake linameguka msimu utakapoisha hivyo kanuni zinampa Tulsa kuzungumza na timu ambayo inamtaka.


Kwa mujibu wa Meneja wa Kagere, Patrick Gakumba amesema kuwa mteja wake mkataba wake utafika ukingoni ligi itakapoisha.

SOMA NA HII  "KANOUTE ANASUMBULIWA NA NYONGA...SIMBA WASHINDWA KUVUMILIA WAFUNGUKA HAYA