Home video VIDEO: MASHABIKI WA SIMBA WATUMA SALAMU KWA YANGA, WADAI WANAOGOPA

VIDEO: MASHABIKI WA SIMBA WATUMA SALAMU KWA YANGA, WADAI WANAOGOPA


MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kuwa sababu kubwa ya kufanya vizuri ni uwekezaji ambao upo pia wamesema kuwa unaweza kuifunga Simba ila sio mara mbili nje ndani.


Kuhusu mechi yao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Julai 3 wamesema kuwa watani zao wanawaogopa.


 Suala la kutolewa na Kaizer Chiefs wameweka wazi kwamba limewauma. Jana Juni 3, ubao wa CCM Kirumba ulisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba, 

 

SOMA NA HII  VIDEO: CHEKI TIZI LA MAANA LA YANGA NCHINI MOROCCO, SI MCHEZO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here