Home video VIDEO: YANGA YATUMA SALAMU KIMTINDO SIMBA YAWATAKA WAKUTANE FAINALI

VIDEO: YANGA YATUMA SALAMU KIMTINDO SIMBA YAWATAKA WAKUTANE FAINALI

OFISA Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa wamefika salama Tabora na maandalizi yapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Biashara United.


Pia ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba kimtindo kwa kusema kuwa wakazane wakutane fainali ikumbukwe kwamba Simba itacheza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam FC, Juni 26 Uwanja wa Majimaji, Songea dhidi ya Azam FC ambapo mshindi atacheza fainali na mshindi wa mchezo kati ya Yanga v Biashara United.

 

SOMA NA HII  WASOMALI WA AZAM FC KUKIPIGA AZAM COMPLEX