Home news IBENGE ALIYEKUWA ANATAJWA KUIBUKIA SIMBA ABWAGA MANYANGA

IBENGE ALIYEKUWA ANATAJWA KUIBUKIA SIMBA ABWAGA MANYANGA


 KOCHA Frolentine Ibenge ameachana na Klabu ya AS Vita huku Rais wa klabu Bestine Kazadi akithibitisha.

“Ndugu mashabiki, ninatangaza kuondoka kwa kocha wetu Jean Florent. Kwa niaba ya Klabu ya AS Vita, tunamshukuru kwa utumishi wake na tunamtakia kila la kheri.” – Bestine, Rais AS Vita.


Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa AS Vita wameandika kwamba wanashukuru kwa huduma ya kocha huyo.


Ibenge ambaye pia ni kocha wa timu ya taifa ya Congo alikuwa anatajwa kujiunga na Simba baada ya Sven Vandenbroeck kubwaga manyanga ila kwa sasa timu ipo mikononi mwa Didier Gomes.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA YANGA KUTOKA KWA SIMBA MPAKA KWA WAGOSI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here