Home video MGOSI: MSIMU UJAO UTAKUWA NA USHINDANI MKUBWA

MGOSI: MSIMU UJAO UTAKUWA NA USHINDANI MKUBWA

KOCHA Mkuu wa Simba, Queens amesema kuwa wanatambua kwamba msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa tofauti na ilivyokuwa msimu huu ambao timu hiyo imetwaa taji la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania. Pia mchezaji Oppa Clement amesema kuwa shukrani zao ni kwa mashabiki pamoja na viongozi. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: ALIYEWATUNGUA YANGA ATAJA NAMNA ATAKAVYOWEZA KUJIUNGA NA SIMBA