Home news SIMBA QUEENS YAKABIDHIWA UBINGWA LEO UWANJA WA UHURU

SIMBA QUEENS YAKABIDHIWA UBINGWA LEO UWANJA WA UHURU


 SIMBA Queens leo imekabidhiwa ubingwa wa Ligi ya Wanawake Tanzania kwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Twiga Stars.

Mchezo wa leo ambao umechezwa Uwanja wa Uhuru, ubao ulikamilika kwa kusoma Simba Queens 1-2 Twiga Stars.

Chini ya Kocha Mkuu, Mussa Mgosi, Simba Queens imetwaa ubingwa wake wa pili ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania ambayo imekuwa na ushindani mkubwa.

SOMA NA HII  KITAMBI FULL UBABE GEITA GOLD