Home video VIDEO: MKWANJA WA YANGA BILIONI 34.8 KUSHUSHA VIFAA VYA MAANA

VIDEO: MKWANJA WA YANGA BILIONI 34.8 KUSHUSHA VIFAA VYA MAANA

MKWANJA ambao wameupata Yanga wa miaka 10 walioingia Yanga na Azam Media Yanga inakwenda kuwa na jeuri ya matumizi ya mkwanja ambao unawafanya wawe na mkwanja mrefu wa kusajili wachezaji bora kutoka Afrika Kusini, Zambia na hata nchi za Kiarabu ikiwa ni pamoja na Algeria.

 

SOMA NA HII  VIDEO: ALIYEWATUNGUA YANGA ATAJA NAMNA ATAKAVYOWEZA KUJIUNGA NA SIMBA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here