Home video VIDEO: MZEE WA UTOPOLO AMJIBU MANARA KUELEKEA KARIAKOO DERBY

VIDEO: MZEE WA UTOPOLO AMJIBU MANARA KUELEKEA KARIAKOO DERBY

SHABIKI wa Yanga maarufu kama Mzee wa Utopolo amesema kuwa hawana mashaka kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. 


Pia ameweka wazi kwamba hana mashaka na Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kwa kuwa aliomba kuonana naye na namba ambayo ametoa haipatikani. 

 

SOMA NA HII  EXCLUSIVE: MASAU BWIRE ATUPA DONGO KIMTINDO YANGA KISA UBINGWA,KUIPA SAPOTI SIMBA