UONGOZI wa Yanga umemshtaki Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa kutoa kauli ya ‘kuokotwaokotwa’ ambapo awali ilitakiwa kesi hiyo kupelekwa mahakamani.