Home news ORODHA YA MATOKEO YA KURA ZA WAJUMBE WA KANDA,TFF, TANGA

ORODHA YA MATOKEO YA KURA ZA WAJUMBE WA KANDA,TFF, TANGA


 BAADA ya Wallace Karia kutangazwa kuwa mteule kwa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na wajumbe kwa aslimia 100 zoezi la uchaguzi kwa wajumbe liliendelea.

Haya hapa matokeo kamili ya uchaguzi na kura ambazo wamzipata wagombea kwa kanda namna hii:-

Zone 1, Dar

Lameck  Nyambaya 40

Athumani Kambi 6

Osea Lugano 35


Zone 2

Kharid Abdallah Mohamed 55

Zakayo Mjema 26


Zone 3

Abuu Sufian Silia 27

James Mhagama 46

Mohamed Mashandu 8


Zone 4


Mohamed Eden 52

Kusuli 20

Hamis Juma Kitila 8

Zone 5

Vedastus Lufano 35

Salum Umande Chama 32

Salum Kulunge 14


Zone 6

Kenneth Pesambili 11

ISSA Mrisho Bukuku 58

Bras Kihondo 11 


Majina ya wajumbe wanne waliopendekezwa na Rais


1. Athumani Nyamlani, Dar

2. Ahmed Mgoi,Kigoma

3. Hawa Mniga, Dar

4. Said Sud, Tanga.


Rais amemteua Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais. Ni leo Agosti 7, Tanga.

SOMA NA HII  MAWAKILI WA MORRISON KUMSIMAMIA FEI TOTO DHIDI YA YANGA SC....WAZAZI WAKE WAKOMAA