Home Taifa Stars TIMU YA TAIFA U 23 YAREJEA NA TAJI

TIMU YA TAIFA U 23 YAREJEA NA TAJI


KIKOSI cha timu ya taifa chini ya miaka 23 leo Agosti Mosi kimewasili Tanzania kikitokea nchini Ethiopia ambapo kimetwaa taji la Cecafa.

Ushindi wa penalti 6-5 mbele ya Burundi uliwapa nafasi ya kutwaaa taji hilo.

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), Wallace Karia amesema kuwa ni jambo la furaha kwa ushindi waliopata.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MALAWI