Home Simba SC VIDEO; KOCHA SIMBA ANAAMINI WATAJENGA UFALME KWENYE SOKA LA VIJANA

VIDEO; KOCHA SIMBA ANAAMINI WATAJENGA UFALME KWENYE SOKA LA VIJANA


KOCHA wa timu ya vijana ndani ya Simba, Mussa Mgosi amesema kuwa wachezaji aliokuwa anawatafuta katika mchujo tayari amepata timu kamili jambo ambalo linampa nafasi ya kuweza kutengeneza timu nzuri.


 Mgosi anaamini kwamba atatengeneza wachezaji wazuri watakaokuja kufanya mambo makubwa katika ardhi ya Tanzania na wanaweza kupandishwa kwenye timu kubwa kama ilivyokuwa kwa Ibrahim Ajibu, Jonas Mkude. 

 

SOMA NA HII  SIKU 100 TAMU ZA GOMES AKIWA NA SIMBA SC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here