Home video VIDEO: KUMBE JEMBE ALIKATAZWA KUWA MWANDISHI, SABABU YA JINA YAWEKWA WAZI, ANACHANA

VIDEO: KUMBE JEMBE ALIKATAZWA KUWA MWANDISHI, SABABU YA JINA YAWEKWA WAZI, ANACHANA

SALEH Jembe ameweka wazi kwamba ana uwezo mkubwa wa kucheza mpira na huko ndiko ambapo jina la Jembe lilianzia, pia amebainisha kwamba alikuwa anakatazwa kuwa Mwandishi wa Habari wakati huo akikua. 


Kazi zote alifanya kwenye burudani, michezo, ngumi ila kwa sasa amewekeza nguvu nyingi kwenye michezo. Video Credit kutoka Star Tv kipindi cha Mcheza Kwao.

 

SOMA NA HII  ANTONIO NUGAZ MZEE WA WAPE SALAMU ANA NENO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here