Home video VIDEO: TEGETE AWACHANA SINZA STARS,TABATA WAKIRI KUWA NI MABISHOO

VIDEO: TEGETE AWACHANA SINZA STARS,TABATA WAKIRI KUWA NI MABISHOO

NAHODHA wa Tabata All Stars, Jerry Tegete amesema kuwa wapinzani wao Sinza hawawatishi hivyo wao walipambana na kuweza kushinda kwenye mchezo wao wa Nusu fainali ya Ndondo Cup huku wakiwa na kauli mbio kwamba hawafagilii na yeyote ambaye atakuja kufanya mazoezi wanafanya nao kazi na kuwaasa vijana wasikate tamaa.

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA, TUTASHINDA MBELE YA SIMBA